Mchungaji Msaidizi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Anna Kuyonga amewaomba waumini wake kumuombea mchungaji kiongozi wa ushirika huo, Dk Eliona Kimaro amalize salama likizo yake.
TAZAMA VIDEO HII HAPA
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube