Binti Atemwa na Mpenziwe Miezi 7 Baada ya Kumpa Figo yake

Mwanadada aliyempa mpenzi wake figo amedai kuwa alimtupa miezi kadhaa baadaye.


The Mirror inaripoti kuwa Colleen Le mwenye umri wa miaka 30, kutoka Marekani, alijitolea kumpa mpenzi wake figo yake moja baada ya kugunduliwa kuwa na maradhi mbaya ya figo.


Tatizo la figo zake lilianza alipokuwa na umri wa miaka 17, na aliarifiwa kwamba figo yake ingefanya kazi chini ya asilimia tano. Baada ya kugundua kuwa ana uwezo wa kumpa, Colleen alitoa figo yake moja, na wote wawili wakapona kabisa


Hata hivyo, uhusiano wao uliingia doa miezi saba baada ya upasuaji huo wakati Christian alisema anataka kuhudhuria sherehe ya watu makapera mjini Las Vegas pamoja na marafiki zake wa kanisa. Wakati aliporejea akitokea kwenye ziara hiyo, aliungama kwamba hakuwa mwaminifu kwake. 


Alimsamehe, na kisha kumtema miezi mitatu baadaye. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo