Vunja Bei aahidi kujitosa tena kwenye siasa

Mfanyabiashara Fred Vunja Bei, amesema hajakata tamaa kwenye ulimwengu wa siasa na atajitosa tena 2025


Fred amefunguka hayo akiwa mkoani Kigoma hivi karibuni kufungua duka lake jipya ambao alizungumzia masuala mbalimbali yanayomhusu ikiwemo suala hilo la siasa.

"Siasa mimi sijaanza leo, nimeanza muda mrefu. Tumekuwa tukifanya kazi na vijana kwa muda mrefu na niligombe ujumbe wa NEC nashukuru kitendo tu cha jina langu kurudi kupigiwa kura ilikuwa ni heshima kubwa, nitarudi tena 2025," alisema Fred.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo