Rasmi: Wolper na Rich Mitindo wafunga ndoa

Mwigizaji Jackline Wolper sasa ni rasmi atatambulika kama Mrs. Richard Samweli Bruno na hii ni baada ya kufunga ndoa na Mwanamitindo Richard Bruno katika Kanisa katoliki la St. Peter’s Ostarbey Jijini Dar es salaam.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo