Msiba Mzito Ulioikumba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anasikitika kutangaza kifo cha Gerald Mwanilwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, kilichotokea tarehe 2 Novemba, 2022 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.


Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ilazo, jijini Dodoma.

Kwa masikitiko makubwa tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo