Live: Shughuli ya kuaga miili ya Marehemu wa ajali ya ndege Bukoba

Ibada ya kuwaaga marehemu wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera tayari imeanza.


Maombi hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa miguu Bukoba kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila, na zoezi hilo linaongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Picha zote na Charles Mwabeya wa TBC






JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo