Chongolo atoa kauli tata "Tukiamua tunamalizana"

  "Chama hiki ni kikubwa, kikishajua kwamba huyu tumemfunga kamba miguuni kinakuacha uzurure tu kama mbuzi, kikiamua kuvuta, kinavuta mara moja, hakuna mwenye uwezo wa kukimbia kamba ipo mguuni, wewe  nenda zunguka zunguka tu, tukiamua kuvuta tunamalizana na wewe bila shida" - Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo