Bodaboda auawa akiwakimbiza watuhumiwa wa Ujambazi

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Amini Salum ameuwawa baada ya kupigwa risasi wakati wakiwafukuza watu wanaodaiwa kuwa majambazi waliotaka kumpora mfanyabiashara ambaye jina lake limehifadhiwa.

Tukio hilo limetokea mtaa wa Nyamalembo Mjini Geita majira ya saa sita usiku baadhi ya mashuhuda wamesema walisikia kelele ambapo kwenda kuangalia wakakuta mfanyabiashara kavamiwa na watu wanaodaiwa majambazi na kuamua kutoa msaada wa haraka kwa kuwasaka na wakiwa katika harakati hizo ikasikika mlio wa risasi iliyokwenda kumpata Amini na kusabisha kifo chake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Safia Jongo amekiri kutokea kwa tukio hili na Polisi linaendelea na uchunguzi wake.Auwawa kwa risasi akitoa msaada

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Amini Salum ameuwawa baada ya kupigwa risasi wakati wakiwafukuza watu wanaodaiwa kuwa majambazi waliotaka kumpora mfanyabiashara ambaye jina lake limehifadhiwa.

Tukio hilo limetokea mtaa wa Nyamalembo Mjini Geita majira ya saa sita usiku baadhi ya mashuhuda wamesema walisikia kelele ambapo kwenda kuangalia wakakuta mfanyabiashara kavamiwa na watu wanaodaiwa majambazi na kuamua kutoa msaada wa haraka kwa kuwasaka na wakiwa katika harakati hizo ikasikika mlio wa risasi iliyokwenda kumpata Amini na kusabisha kifo chake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Safia Jongo amekiri kutokea kwa tukio hili na Polisi linaendelea na uchunguzi wake.

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo