Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, katika oparesheni zake, imekamata biskuti 50 za bangi jijini Arusha
Kamishna na Mamlaka hiyo Gerald Kusaya ameeleza kuwa mtuhumiwa Abdulnasir Kombo (30) mkazi wa Kaloleni ndiye aliyekamatwa na biskuti hizo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi