Binti ashambuliwa kwa kuchumbiwa na babu wa miaka 65

Sosholaiti wa humu nchini anayetambulika kama Manzi Wa Kibera, amekaanga bila huruma kwenye mitandao ya kijamii, kwa kusaka kiki na mzee ambaye ametosha kuwa rika la baba yake.

Sosholaiti huyo amekuwa akisambaza picha na video zake akiwa na mzee huyo.


Kwenye mahojiano na Empire Group Production's YouTube channel, Mazni wa Kibera alidai kwamba yeye ni mpenzi wa mzee huyo wa miaka 65. Mrembo huyo alifafanua kwamba alimpenda mzee huyo kwa sababu humpa hela na kununua chohcote anachotaka.


Mzee huyo naye pia likiri kwamba anachumbiana na Manzi wa Kibera. Katika ukurasa wa Nairobi Gossip, video ilisambazwa ikionyesha jinsi wapenzi hao walivyokuwa wakijivinjari katika hoteli moja. 


Ila bado, wanamitandao hawakuamini, na kusama kwamba Manzi wa Kibera alikuwa akiyafanya mambo hayo ili kusaka kiki na mzee huyo. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo