Washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi Dodoma


Wakazi wawili wa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) ambaye alitakiwa kufanya mitihani juzi na jana.


Inadaiwa alipigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akifanya biashara katika klabu cha pombe.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma (RPC), Martin Otieno wanafunzi amesema kuwa mwanafunzi huyo aliuawa usiku Jumanne, Oktoba 4, 2022 nyumbani kwao Mtumba jijini Dodoma na watu wasiojulika.


Inadaiwa alipigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akifanya biashara katika klabu cha pombe.


Kamanda Otieno amesema jeshi hilo linawashikilia watu wawili kwa mahojiano lakini msako zaidi unaendelea kwani tukio hilo ni baya ambalo haliwezi kuvulimika kwani kitendo kilichofanyika kwa binti huyo ni cha kinyama kinachopaswa kulaaniwa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo