Picha 14: Jinsi Mwanahabari Michael Ngilangwa alivyozikwa

Mwili wa Mwanahabari Michael Ngilangwa kutoka kituo cha Uplands FM radio Njombe, umezikwa leo Oktoba 24, 2022 kijijini kwao Itengule Malangali Mkoani Iringa


Safari yake ya mwisho hapo katika Kijiji Cha Itengule Malangali mkoani Iringa inafuatia kupoteza maisha Oktoba 22,2022 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Kibena mkoani Njombe


Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa, jina lake Lihimidiwe













Picha zote na Uplands Fm Radio


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo