Mtoto aieleza Mahakama jinsi alivyobakwa na Mchungaji ambaye ni Baba yake mzazi


Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba yake huyo


Kesi hiyo ya ubakaji namba 79 ya mwaka 2022, ilifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 12, mwaka huu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo