Familia Zatoa Tamko kuhusu Watuhumiwa wa Ujambazi waliouawa na Polisi


 Familia za watu wawili kati ya watatu waliouawa Septemba 22 na Jeshi Polisi katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wakituhumiwa kuwa ni majambazi zimelaani kitendo hicho huku zikisema hazitazika miili ya ndugu zao hadi zitakapopata taarifa za kiuchunguzi lakini pia zikiendelea kuandaa utaratibu kuchukua hatua za kisheria.


Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa,Catherine Ruge ambaye ni mwanafamilia wa miongoni mwa watu hao waliouawa amesema mbali na kutozika miili hiyo wanaiomba Serikali kuunda tume huru itakayosaidia kuchunguza matukio mbalimbali ya watu kuuawa nchini.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo