Habarini za leo wasomaji wa Blog hii, tunapenda kuwataarifu kuwa hatutaweza tena kurusha habari mbalimbali kwenye blog hii kutokana na Serikali kuzuia Utoaji wa habari kupitia mitandao (ikiwemo blog) hadi upate usajili, hivyo tukikamilisha vigezo hivyo mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Na Edwin Moshi,
Mmiliki wa Edmo Blog
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi