skip to main |
skip to sidebar
LIVE: Kuagwa Miili ya Maria na Consolata muda huu
Zoezi la kuaga miili ya Marehemu Maria na Consolata Mwakikuti linaendelea hivi sasa mjini Iringa kabla ya kwenda kuwazika katika kijiji cha Tosamaganga kata ya Kalenga mkoani Iringa
Zoezi la kuaga miili hiyo limezua vilio na simanzi miongoni mwa waombolezaji waliofurika kwa ajili ya safari ya mwisho ya mapacha hao
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi