Ajali mbaya imetokea saa kumi na mbili asubuhi ya baada ya basi la Prince Hamida linalofanya safari zake kutoka Kigoma kwenda Nzega kugonga treni ya mizigo katika eneo la relini katika eneo Gungu, ambapo watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha.
Juhudi za kuopoa miili ya watu walionasa ndani ya basi hilo zinaendelea zikiongozwa na vikosi vya jeshi la wananchi, na jeshi la polisi pamoja na wananchi.