Afisa Habari wa Timu ya Lipuli ya Iringa Clement Sanga leo ametaja kilabu kingine kikubwa cha Tanzania kinachotaka kumsajili mchezaji wao Adam Salamba Yanga ndio wa kwanza kuandikia barua klabu ya Lipuli kuonesha nia yao ya kumtaka mchezaji huyo, lakini kipo kilabu kingine tena kikubwa ambacho kimemtaka mchezaji huyo kwa barua Tazama hapo chini, Clement Sanga akiongea
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube