Boko, Dar: Ajali mbaya yatokea baada ya Lori kukosa breki na kuvamia waendesha bodaboda na kupelekea vifo na majeruhi
Ajali mbaya imetokea Boko baada ya lori kufeli break muda huu.Inasadikika watu zaidi ya 10 wamefariki, bodaboda 20 zimesagwa, magari 10 yamegongwa.
Barabara ya Boko imefungwa na wananchi.
------------------- Update---------------
Watu wawili wamekufa na wengine saba kujeruhiwa baada ya lori la mchanga kuwagonga eneo la Boko Magengeni, Dar. RPC Kinondoni, Jumanne Murilo amethibitisha
#SourceJamiiForums