Watu wengi wakiuaga Mwili wa Masogange, Angalia Hapa

Mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ ukiwa Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa. Masogange ambaye alikuwa video queen maarufu Bongo alifariki juzi Ijumaa katika Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili viwanja vya Leaders
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua matukio mara baada ya mwili wa marehemu kufika Leaders
Mchakato wa kuutoa mwili wa marehemu ukiendelea
Mwili wa marehemu ukipelekwa sehemu maalumu ya kuuagia
…eneo la tukio linavyoonekana kwa juu(Picha na GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo