Jipya la leo Kuhusu waraka wa Maaskofu KKKT Makete

Baada ya taarifa kutolewa kwamba siku ya pasaka 01.04.2018 kuwa ni siku ya kusoma waraka wa Maaskofu wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwa usharika wa Makete mjini waraka huo Utasomwa jumapili Ijayo 08.04.2018

Hayo yamesemwa kanisani hapo leo na Mchungaji Kiongozi Usharika wa Makete Mjini Mch. Yusuph katika Ibaada ya Pasaka

Tazama Video Hii hapa Chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo