Ibrahim Ngogo Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Makete amewaasa wanachama wake kutomfanyia MTU yeyote jambo baya hata awe wa CCM
Pia ameongelea kuhusu kutekwa na kuwataka wanachama wake kutokuwa waoga kutetea maslahi ya taifa tazama video Hii>>>>>>>>>>
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube