Diwani wa kata ya Matamba wilayani Makete mkoani Njombe Ephel Ng'ondya (CHADEMA) amesema amekuwa akipokea vishawishi vya kuhama kutoka kwa watu aliodai ni viongozi wa cha mapinduzi (CCM)
Bila kuwataja majina kwa sasa, Diwani huyo amesema yeye ni dhahabu na ndiyo maana anasakamwa ili anunuliwe Tazama Video hii>>>>>>
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube