Zitto: Taharuki ni ishara ya UDHAIFU

Ameandika Zitto Kabwe:

"Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais 🙄 ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania https://en.m.wikipedia.org/wiki/Romanian_Revolution na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989." Zitto 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo