Hivi Ndivyo Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro alivyozikwa

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini Dkt Marcossy Albanie akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro marehemu Samweli Kitwika.
Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Siha Mhe. Elvis Mossi akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro, marehemu Samweli Kitwika.
Mkt wa BAVICHA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, marehemu Samweli Kitwika.Mbunge wa Jumbo la Mlimba na Mkt wa Chama Mkoa wa Morogoro Mhe. Susan Kiwanga akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa Morogoro, marehemu Samweli Kitwika.Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Vincent Mashinji ameungana na viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na wakazi wa Wilaya ya Kilosa kwenye mazishi ya aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro, marehemu Samweli Kitwika.Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Vincent Mashinji akishiriki ibada ya mwisho aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro Samweli Mwakalinga Kitwika.Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Devota Ninja akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro marehemu Samweli Kitwika.Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Vincent Mashinji akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama Mkoa wa Morogoro marehemu Samweli Kitwika.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo