Wawili washikiliwa kutokana na kifo cha Mwanafunzi

Image may contain: 2 people, people sittingImage may contain: 3 people, people standingJeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia watuhumiwa wawili kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanafunzi wa kike wa kidato cha sita Sundi George aliyekuwa akisoma katika shule ya sekondari Mwembetogwa

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari  Kamanda wa Polisi Iringa ACP Juma Bwire amesema mnamo Machi 12 mwaka huu akiwa na sare za shule mwanafunzi huyo alitoka nyumbani kwao kuelekea shuleni lakini hakurudi hadi mwili wake ulipopatikana  maeneo hayo.
Kamanda Bwire amesema wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha kifo cha mwanafunzi huyo huku akiwaomba wananchi kutoa taarifa kwa mtu yoyote wanayehi amehusika katika tukio hilo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo