UVCCM: ‘Tutashiriki na polisi kulinda amani Siku ya Maandamano’

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umetoa onyo kali watu wote watakaoandamana siku ya tarehe 26 April 2018 kwa kusema kuwa watakuwa sambamba na jeshi la polisi kulinda amani ya nchi pale watakapokuwa wamezidiwa.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi mkoa wa Dar es salaam, Saady Khimji leo Jumapili Machi 11, 2018 kwenye mkutano na Waandishi wa Habari. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo