Siku hizi upinzani umefilisika sana, ukitatua kero kubwa ya wananchi ikaisha watauliza "ntajie kifungu cha sheria kilichokupa uhalali wa kuwaondolea wananchi kero hiyo", kisha wataendelea mbele "tutajie mistari ya Quran na Biblia inayosema kero ile ilipasa kuondoka". Hopeless! pic.twitter.com/Tc2lf9kne7— Humphrey Polepole (@hpolepole) March 22, 2018
Polepole: Siku hizi upinzani umefilisika sana, Hopeless!
By
Edmo Online
at
Friday, March 23, 2018
