Polepole: Nasubiri Mbowe na alioandamana nao anieleze kwa nini kawapiga Mawe askari wetu

Nasubiri Mbowe anieleze uhalali wa yeye na waandamanaji wake walioandamana kinyume cha Sheria kuwapiga mawe na kuwajeruhi vikali askari wetu waliokuwa wamevalia sare zao na wakihakikisha usalama wa raia




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo