Iringa: Basi la Ndenjela lapata ajali mlima Kitonga

Basi la Kampuni ya Ndenjela lenye namba za usajili T491 CJV Yutong F11 lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Dar es salaam, limepata ajali na kupinduka maeneo ya mlima Kitonga mkoani Iringa. 

Chanzo cha ajali bado hakijafahamika ila baadhi ya abiria wajeruhiwa kuhusiana na ajali hiyo na hakuna vifo mpaka sasa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo