Diwani wa CHADEMA Ahamia CCM na wanachama zaidi ya 110 Rukwa, Polepole awapokea


Bwana Gerevas Mwakyusa Diwani wa Chadema kata ya Legezamwendo, Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa amejivua Udiwani na Uanachama wa CHADEMA na Kujiunga na CCM


Pamoja na wanachama wachadema zaidi ya 110 wamejivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.



Viongozi na wanachama hao wamepokelewa na Comrade. Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa akiwa kwenye Mkutano wa ndani wa ujenzi wa Chama Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo