Diwani Mwingine wa CCM Afariki Dunia

Tanzia: Patrick Mbozu Diwani wa Isanzu (CCM), afariki Dunia

Mzee Patrick ametutoka usiku wa jana. Alikuwa anasumbiwa na Maradhi kwa mda mrefu, alilazwa Hospitali ya Bugando Mwanza, ni diwani kutoka CCM pia alikuwa ni mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Nzega katika Uongozi wa awamu ya nne.


Marehemu ni Baba Mzazi wa John Patrick Mbozu ambaye ni Katibu wa Mambo ya Nje wa chama cha ACT Wazalendo.

Amefia Hospitali ya Wilaya ya Nzega.

Apumzike mahali pema peponi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo