Wakili wa kujitegemea Rosemarry Wambali kutoka wilaya ya Makete mkoa wa Njombe amesema mawakili wote nchini wana nafsia kubwa ya kuboresha utendaji kazi wa mahakama na kuhakikisha haki inatendeka
Amesema hayo katika hotuba yake siku ya sheria nchini iliyoadhimishwa kiwilaya katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Makete Angalia video hii:
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube