skip to main |
skip to sidebar
Picha: Diwani wa CHADEMA Aliyeuawa Kinyama Azikwa
Mwili wa Marehemu Godfrey J. Lwena aliyeuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga, akipewa heshima za mwisho Mlimba Mkoani Morogoro leo tarehe 26/2/2017.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa kwenye mazishi ya Godfrey J. Lwena aliyekuwa Diwani wa Kata Namawala Jimbo la Mlimba aliyeuwawa kikatili kwa kukatwakatwa mapanga
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi