Nimeona salamu za rambi rambi kutoka kwa Humphrey Pole Pole juu Uanachama wa Kisiasa wa Mzee Kingunge, sijashangaa kwa salamu hizi. Ila ninachoshangaa na kujiuliza ni kwanini Polisi wa Dar hawamkamati Pole Pole na wafanye kama walivyofanya wenzao wa Dodoma kwa Nabii Tito ?— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) February 3, 2018
Ni kwanini Polisi wa Dar hawamkamati PolePole? - Lema
By
Edmo Online
at
Saturday, February 03, 2018
