"Mimi ndio Faudhat Abood kama alivyosema kampeni Meneja wa Mgombea Salum Mwalim, Salum ni mtoto wangu kati ya watoto 6 yeye akiwa wa tatu kuzaliwa, nimesikia wako wanaosema eti Salum si mtu wa Dar es salaam, msiwasikilize hao" mama mzazi wa Salum Mwalim Faudhat Abood pic.twitter.com/xPHxByMo7x— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) February 3, 2018
ELIMU YETU LAZIMA IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA.
55 minutes ago
