Kamanda Mambosasa amesema majina ya watu hao yanahifadhiwa kwa sasa kwa sababu za kiupelelezi. Wamekamatwa Mwanaume na Mwanamke.
News Alert: Jeshi la Polisi lawakamata 2 kwa mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA
By
Edmo Online
at
Tuesday, February 27, 2018