Suala la vitendo vya Ukatili vinavyoendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, imeelezwa vinatokana na ukosefu wa hofu ya MUNGU miongoni mwa wananchi
Kauli hiyo imetolewa na Mchungaji wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Malembuli wilayani Makete mkoani Njombe katika Ibaada ya Jumapili iliyoendeshwa kanisani hapo leo 25 Februari 2018
Tazama Video hapo Chini Usikilize aliyoyaongea
