Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka na Mkuu wa wilaya ya Makete Veronica Kessy wakifurahia jambo kwenye sherehe hiyo
Wageni waalikwa wakifurahia jambo
Askofu Mteule dayosisi ya kusini Kati Wilbert Sanga akitoa neno kwenye hafla hiyo
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akimsalimia Baba askofu Mteule Wilbert Sanga
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh Egnatio Mtawa akizungumza kwenye sherehe hiyo
Wadau wakifurahia jambo
Mwendo wa kwaito
Diwani wa viti Maalum (CHADEMA) Mh Beatrice Kyando akizungumza kwenye sherehe hizo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Njombe Jasel Mwamwala akizungumza kwenye hafla hiyo
Mkuu wa mkoa akitoa salamu zake
Wasanii Y Jay na Hans Jay wakitumbuiza kwenye hafla hiyo
Mkuu wa mkoa na meza kuu wakiondoka Ukumbini