skip to main |
skip to sidebar
IGP Sirro alivyomuapisha Kamishna wa Polisi Zanzibar
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amemuapisha Kamishna wa Polisi Mohamed Hassan Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Hafla ya kuapishwa imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi