Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Mbinga Mheshimiwa Egno Kipwere ambapo watumishi waliofukuzwa kazi ni wa kada mbalimbali wakiwemo walimu na Maofisa Watendaji pamoja na Afisa Misitu wa halmashauri hiyo Bw. David Hyera.
Watumishi 58 wakufukuzwa kazi Mbinga
By
Edmo Online
at
Sunday, January 28, 2018