skip to main |
skip to sidebar
Siku chache baada ya Kujitoa Kesi ya Wema, Kibatala apata Pigo
Wakili msomi Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amepata pigo baada ya kumpoteza mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi