Polepole: Kesho Mje Mshuhudie Kiongozi Mkubwa wa Upinzani akihamia CCM

TAARIFA KWA WANAHABARI Kesho Tar 9/1 saa 3:30 Asubuhi kutakuwa na shughuli ya kumpokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani ambaye ameomba kujiunga na CCM na atapokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara. Ukumbi wa Checkpoint Pugu. IDARA YA ITIKADI NA UENEZI OND LUMUMBA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo