Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa ameshiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kinondoni
Kwa mara ya kwanza Lowassa ametinga magwanda ya CHADEMA tangu ajiunge na CHAMA hicho mwaka 2015
> Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi huo ni Salum Mwalim
