Mwalimu anayeandika Matusi Mtandaoni akamatwa Mwanza


Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu (pichani)ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutimia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi mazito kwa takriban wiki nzima.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo