skip to main |
skip to sidebar
Akamatwa baada ya Kujiunganishia Bomba la Mafuta hadi Nyumbani kwake
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wanamshikilia Samwel Nzagi Kilang'ani (miaka 63) kwa tuhuma ya kutoboa Bomba la mafuta ya Dizeli la "Single Point Mooring" na kujiunganishia bomba lake la mafuta hadi nyumbani kwake
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi