Hali ya majonzi na huzuni vimetanda kwa ndugu
jamaa na marafiki wa Nione Tweve baada
ya mwili wake kukutwa ukiwa umezikwa mtoni huku ikidawa kuaawa na rafiki yake
wa karibu aitwaye Amini Sanga licha
ya familia kumtafuta kwa muda wa miaka mitano bila
mafanikio baada ya kundoka kijijini hapo bila taarifa ya anakokwenda tangu
mwaka 2012
hapa chini video inanoesha sehemu alipouawa Marehemu na alipofukiwa na mtuhumiwa miaka 5 iliyopita kama anavyoeleza shemeji wa marehemu katika video hii>>>>