Familia ya kijana Nione Tweve aliyeuawa katika kijiji cha Igolwa wilaya ya Makete mkoa wa Njombe miaka mitano iliyopita na mwili wake kugundulika umefukiwa porini karibu na mto, imelipongeza jeshi la polisi kwa kumkamata mtuhumiwa ambaye amekiri kufanya mauaji hayo Zaidi Tazama video hii hapa chini kwa kubonyeza play...>>>
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube