Lema ammiminia Pongezi za Kutosha Rais Magufuli

Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameshindwa kuvumilia na kuamua kumppongeza Rais Dkt John Magufuli kwa kuwaachia huru wafungwa waliokaa gerezani muda mrefu

Pongezi hizo za Mbunge Lema amezitoa kupitia ukurasa wake wa Twitter kama inavyoonekana hapo chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo