Katika Mkutano mkuu wa 9 wa UVCCM uliofanyika leo mkoani Dodoma, Aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kabla ya kujiuzulu na kuhamia CCM Patrobas Katambi amesema "Hivi, viongozi wa upinzani wakipewa nchi nani wanaweza kuunda serikali? Kama wanashindwa kusimamia bajeti ya msiba, wataweza kusimamia bajeti ya Taifa?
Katambi: Kama Upinzani wanashindwa kusimamia bajeti ya msiba, wataweza kusimamia bajeti ya Taifa?
By
Edmo Online
at
Sunday, December 10, 2017
